Mwanamuziki mrembo kutoka lebo ya The africanprincess
Mwanamuziki mrembo kutoka lebo ya The africanprincess maarufu kama Yammi, akiwa katika moja ya Interview na kituo cha Television hapa nchini amefunguka na kuweka wazi sifa za mwanaume anayempenda baada ya kuulizwa kama yupo kwenye mahusiano.
“Nipo single sina hata mpenzi,napenda mwanaume mpole,mstaarabu anayejua kudekeza na yeyote atakayenipenda vizuri” – Alisema @yammitz
Yammi amekuwa na wakati mzuri tangu atambulishwe rasmi kwenye game, akiendelea kujizolea wimbi la mashabiki kutokana uwezo alionao kwenye kuimba pamoja na uzuri aliojaliwa. Huku ngoma yake ya #Lovecrazy aiyoichia hivi karibuni ikiendelea kufanya vizuri kupitia mtandao wa Youtube.
All Categories
Recent Posts
Tags
+13162306000
zoneyetu@yahoo.com