Zone yetu#afcon2023 #kandanda #soka #michezo #nigeria
Baadhi ya maelfu ya watu waliojitokeza kutoka nchi mbalimbali kushuhudia mtanange wa fainali ya Kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2023 linalofikia tamati usiku wa leo Saa tano kamili usiku kwa saa za Afrika Mashariki ukizikutanisha timu ya Nigeria ‘Super Eagles’ 🇳🇬na Ivory Coast ‘Tembo’ 🇨🇮ambao ndio wenyeji wa michuano hii.
•
Mataifa haya mawili yanakutana katika uwanja wa Alassane Ouattara uliopo katika jiji la kibiashara la Abidjan huku mtanange huu ukitarajiwa kushuhudiwa na mamilioni ya watu duniani kote kupitia runinga na watu elfu 60 ambao watashuhudia mubashara wakiwa katika uwanja huo.
•
Endelea kufuatilia matangazo ya BBC kupitia mitandao ya kijamii na kushiriki pamoja nasi kwa kutoa maoni yako kupitia BBCNews/Swahili ambapo mwandishi wetu @frankmavura yupo eneo la tukio akiendelea kutupasha habari zaidi.
•
•
#ivorycoast🇨🇮
All Categories
Recent Posts
Tags
+13162306000
zoneyetu@yahoo.com