BAADHI YA VIONGOZI WAKUU KWENYE MSIBA WA MH. EDWARD LOWASA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimfariji mjane wa Waziri Mkuu Mstaafu marehemu Edward Lowassa ,Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili nyumbani kwa familia hiyo Masaki Jijini Dar es salaam. Tarehe 11 Februari 2024.
All Categories
Recent Posts
Tags
+13162306000
zoneyetu@yahoo.com