AFCON #bafanabafana#CAN2023#AFCON2023
Golikipa wa Bafana Bafana Ronwen Williams amesema chanzo Cha yeye kushinda tuzo ya Golikipa bora ni Umoja wao ndani ya timu na siyo ubora wake .
Golikipa huyu Bora wa AFCON 2023 amesema ushirikiano mzuri na wachezaji wenzake umemfanya atwae tuzo ya Golikipa bora wa michuano na siyo uwezo wake Binafsi.
Williams ameruhusu mabao matatu ndani ya mechi Saba huku akiondoka na Clean Sheets Saba (7) Hali iliyo mfanya atangazwe Kipa Bora wa michuano.
Mwamba kafuta michomo 23 lakini Bado anasema timu imembeba yeye siyo yeye kuibeba timu muungwana sana huyu .
Hajataka kuji pakulia minyama kweli huyu ni Super Captain.
NB Rais FIFA aliomba picha Kwa huyu mtoa michomo ya Umeme .
Mechi -7
Clean Sheets -5
Goal fungwa -3
Penalty saves -6
All Categories
Recent Posts
Tags
+13162306000
zoneyetu@yahoo.com